Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal,akitembelea na kukagua jengo la Shirika la Elimu Kibaha, wakati
akimalizia ziara yake ya Wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani leo. Kushoto ni
Dkt. Isaack Lwali (wa pili kushoto) ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la
Elimu Kibaha, Dkt. Cyprian Mpemba.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)