Gari
kubwa Roli aina ya Sania, likiwa limeangua pembezoni mwa barabara ya
Morogoro eneo la Kiluvya jana, haikuweza kufahamika chanzo cha ajali
hiyo na haikuweza kufahamika hasara na majeruhi waliotokana na ajali
hiyo, kama ilivyonaswa na kamera ya Sufianimafoto.Picha Na Sufiani Mafoto
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)