Mkuu
wa Huduma za Tiba Jeshi la Wananchi Tanzania Meja Generali Adam
Mwabulanga, akitowa maelezo ya mafanikio ya zoezi la kutoiwa huduma kwa
Wananchi wenye matatizo ya Macho Zanzibar.
Meja
Generali Devid Hogg, akizungumza na Mkuu wa Huduma za Tiba Jeshi,
alipowasili katika Hospitali ya Bububu kuangalia maendeleo ya Zoezi la
kuwafanyia uchunguzi wa Macho Wananchi mbalimbali waliofika hospitalinin
hapo katika zoezi hilo.
Mkuu
wa Hospitali ya Jeshi Bububu, akitowa Maelezo kwa Meja Generali wa
Jeshi la Marekani ambae na Mkuu wa Utendaji wa Kivita na Mahusiano wa
Afrika, David Hogg, katikati na kushoto Mkuu wa Huduma za Tiba Jeshi la
Wananchi Tanzania Meja Generali Adam Mwabulanga, wakiwasili katika
Hospitali ya Bububu kuangalia zoezi la kutowa huduma kwa Wananchi wenye
matatizo ya Macho wa Zanzibar.
Mwananchi
akifanyiwa kipimo kabla ya kufanyiwa upasuaji, katika zoezi
hilo.linaloendelea katika Hospitali ya Bububu mpaka tarehe 17-2-2012
Wananchi
wakifanyiwa uchunguzi wa kusoma herufi kwa kutumia miwani maalum,katika
zoezi ya kufanyiwa uchunguzi wa macho kwa wananchi wa Zanzibar katika
hospitali ya Bububu linalosimamiwa na Jeshi la Marekani kushirikiana na
Madakatri wa Jeshi la Tanzania na Hospitali ya Mnazi Mmoja.
Madaktari
Bingwa wa Jeshi la Marekani na Wazanzibar, wakiwafanyika Upasuaji
baadhi ya Wananchi waliokutikana na matatizo ya macho katika zoezi hilo,
linalosimamiwa na Madaktari wa Jeshi la Marekani.katika Hospitali ya
Bububu.
Madaktari
Bingwa wa Jeshi la Marekani wakimfanyia upasuaji mmoja wa Mwananchi
aliefika kufanyiwa uchunguzi wa macho na kugundulikana ana matatizo na
kufanyiwa upasuaji.kuondolewa mtoto wa jicho.
Kanali
waJeshi la Marekani Dk. Carlton, akitowa maelezo jinsi ya mafanikio ya
zoezi hilo kwa Wananchi wanaofika kupata huduma ya kufanyiwa uchunguzi
wa macho.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)