Mama
wa mitindo ASIA IDAROUS KHAMSIN pamoja na team yake watazindua kituo
maalum cha kusaidia waathirika wa madawa ya kulevya kiitwacho 'KIKALE YOUTH CARE GROUP' kilichopo Kikale Wilayani Rufiji.
Uzinduzi huo utafanyika siku ya tarehe 10 Feb 2012 katika onyesho la mavazi lenye hadhi duniani liitwalo LADY IN RED 'Reloaded'.
Onyesho la Lady In Red 'Reloaded' kwa mwaka huu litafanyika
Dar es Salaam Serena Hotel
Kiingilio ni 50,000 kwa VIP na 20,000 kawaida
Dress Code: Red & White
Time: o7:30pm
After Party itafanyika Nyumbani Lounge ambapo kutakuwa na makamuzi ya Machozi Band Live
Karibuni Wote
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)