Kikwete
akimsalimia Katibu Mkuu wa CCM mstaafu, Philip Mangula kabla
yamatembezi kuanza Ofisi ya CCM mkoa wa Mwanza. Kulia ni Katibu Mkuu
Mstaafu Yussuf Makamba.
Rais Kikwete akimsalimia Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye kabla ya matembezi hayo.
Wananchi kutroka maeneo mbalimbali ya mkoa wa Mwanza wakiwa kwenye Ofisi ya CCM mkoa huo tayari kushiriki matembezi hayo.
Katibu Mkuu wa CCM Wilson Mukama akiwa na Makatibu wastaafu wa CCM, Yussuf Makamba na Philip Mangula kabla yamatembezi kuanza.
Vijana wa Sungusungu wakijifua kabla ya matembezi kuanza.
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwasili kwenye Ofisi ya CCM mkoa wa
Mwanza kuongoza matembezi ya mshikamano kwa ajili ya maadhimnisho ya
miaka 35 ya CCM leo asubuhi. Anayempokea ni Makamu Mwenyekiti wa CCM
(Bara) Pius Msekwa na wengine ni Spika wa Bunge Anna Makinda ambaye ni
mlezi wa mkoa huo na Katibu Mkuu wa CCM Wilson Mukama. Pamoja na Rais
Kikwete ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza Clement Mabina na Mkuu wa
mkoa wa Mwanza Evarist Ndikilllo. (Picha zote na Bashir Nkoromo









No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)