Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje
wa Marekani Bw. Johhnie Carlson na Ujumbe wake walipomtembelea Ikulu
jijini Dar es salaam leo January 9, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani
Bw. Johhnie Carlson na Ujumbe wake pamoja na waziri wa Nishati na Madini
Mh Williuam Ngeleja walipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo
January 9, 2012.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya
Nje wa Marekani Bw. Johhnie Carlson alipomtembelea Ikulu jijini Dar es
salaam leo January 9, 2012.PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)