Bondia Fransic Cheka akizungumza na waandishi wa habari leo kupigania ubingwa IBF raundi 12 litakarofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba Aprilo 28.
Makamu
mwenyekiti wa Oganaizesheni ya ngumi za Kulipwa Nchini, Madaraka
Nyerere (Kushoto) akiwaelekeza mabondia Fransc Cheka kulia na Mada Maugo
jinsi ya kusaini mkataba wa makubaliano wa kupigania ubingwa IBF
raundi 12 litakarofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba Aprilo 28.(picha
na www.superdboxingcoach.blogspot.com)
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)