ZIKIWA zimepita siku 40 tangu mwasisi wa kundi la Kaole, Fundi Said
‘Mzee Kipara’ kufariki, jana wasanii na watu mbalimbali walikusanyika
na kumfanyia hitma. Sala hiyo ilifanyika katika nyumba aliyokuwa
anaishi huko Kigogo jijini Dar ambapo hitma iliongozwa na Imamu wa
Msikiti wa Magomeni Kichangani, Wallid Alhad.
HABAR/PICHA NA GLADNESS MALLYA
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)