Waziri wa Nchi Ofis ya Makamu wa Rais Mazingira Dkt Terezya Huvisa akimsikiliza Jambo Waziri wa Afya na Ustawa wa Jamii Haji Mponda ambae ni Mbunge wa jimbo la Ulanga Mashariki Wakati wa Mkutano wa Hadhara uliofanyika kijiji cha Lugala kuhusu Mashamba ya wakulima wa Bonde la kilombero Wilayani Ifakara Mkowani Morogoro kulia Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Bw Francis Miti.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dkt Terezya Huvisa akihutubia wananchi wa kijiji cha Utete Njiwa Jimbo la Ulanga Mashariki Wilaya Ifakara kuhusu Wakulima Waliovamia Mashamba ya Bonde la Mto Kilombero Mkowani Morogoro
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dkt Terezya Huvisa akitoa Maelekezo kwe Afisa Wanyamapori wa Wilaya ya Ulanga Bw John Makotta kuhusu Mipaka ya Mashamba ya wakulima kwenye Bonde la Mto Kilombero Mkoani Morogoro jana.Picha na Ali Meja





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)