Wauguzi wa
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili wakitafakari wakati madaktari wakiwa
bado kwenye mgomo katika viwanja vya hospitali hiyo Dar es Salaam jana.
Wauguzi hao wamedai wanashindwa kutimiza majukumu yao kutokana na
madaktari kutokuwepo kazini. (Picha na Robert Okanda)
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)