Wanafunzi wa shule ya Msingi Kinondoni wakiokota vitu mbalimbali jalalani - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

Wanafunzi wa shule ya Msingi Kinondoni wakiokota vitu mbalimbali jalalani

IMG_0969+-+Copy+%25282%2529
Wanafunzi wa shule ya Msingi Kinondoni wakiokota vitu mbalimbali jalalani bila kujali usalama wa afya zao kwenye Dampo lililopo Shuleni kwao Kinondoni jijini Dar es Salam.Picha na Rafael Lubava
IMG_0968+-+Copy
Hii ni hatari sana kila mtu anapaswa kuwakemea wattoto hawa si wazazi wao peke yao

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages