Ndugu zanguTAARIFA YA MSIBA WA SAID TAMIMU ALLY Ningependa
kuwajulisha kuwa Tamimu amefariki dunia Usiku wa kuamkia Jumapili na
mazishi yalifanyika jana saa kumi jioni makaburi ya Tabata Segerea.
Natoa shukrani zangu za dhati na kwa niaba ya familia ya ndugu Said Tamimu Ally. Nashukuru sana kwa wote waliotoa michango yao ya mali na hali kwa ajili ya kuokoa maisha ya ndugu yetu Tamimu.Shukrani pekee ziwaendee ndugu walioko UK, USA Norway, Canada Muscat, Dar es salaam,Tabora, Arusha na sehemu nyinge nyingi kwa msaada wao wa hali na mali ikiwemo ushauri na kutoa pole.
Asante sana.Soma Historia Yake Hapa

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)