VODACOM YATOA SEMINA KWA CHAMA CHA TAASISI YA KIFEDHA NCHINI (TAMFI) KUHUSU HUDUMA YA M-PESA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

VODACOM YATOA SEMINA KWA CHAMA CHA TAASISI YA KIFEDHA NCHINI (TAMFI) KUHUSU HUDUMA YA M-PESA

Washiriki wa semina ya Taasisi za kifedha (TAMFI) wakimsikiliza  Mkuu wa kitengo cha Mauzo cha Vodacom m-pesa, Franklin Bagalla, wakati wa mafunzo maalum kuhusu huduma ya M-Pesa iliyotplewa kwa washiriki kutoka Taasisi ya Kifedha kwa ajili ya taasisi hizo kunufaika na huduma ya Vodacom m-pesa,iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa kitengo cha Mauzo cha Vodacom m-pesa Franklin Bagalla (kulia) akisikiliza swali kutoka kwa Makamu Mwenyekiti wa Tanzania Association of Microfinance Association (TAMFI) Joel Mwakitalu, wakati wa mafunzo maalum kwa ajili ya Chama cha Taasisi za kifedha kuweza kunufaika na huduma ya m-pesa,semina hiyo iliandaliwa na Vodacom Tanzania jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages