UDOM YAGEUKA KUWA ULAYA KWA DAKIKA KADHAA TU - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

UDOM YAGEUKA KUWA ULAYA KWA DAKIKA KADHAA TU

Hali ya hewa ya Leo Ndani ya Chuo Kikuu Cha Dodoma. Ukungu ukiwa umetanda karibu eneo zima la chuo hadi kuonana na mtu au kumuona mtu wa mbali kidogo ilikua shida lakini hali sasa ipo shwari hali ya hewa ni ya kibaridi kiasi na kijua cha kishikaji tu.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages