TASWIRA ZA SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO MH ANNE MAKINDA WAKATI WA KUUAGA MWILI WA MAREHEMU REGIA MTEMA KATIKA UKUMBI WA KARIMJEE HAPO JANA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

TASWIRA ZA SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO MH ANNE MAKINDA WAKATI WA KUUAGA MWILI WA MAREHEMU REGIA MTEMA KATIKA UKUMBI WA KARIMJEE HAPO JANA

Mhe. Spika akimfariji mama wa Marehemu Mhe. Regia Mtema
Spika wa Bunge, Anne Makinda, akitoa wasifu wa mare hemu katika shughuli zake za kibunge na salam za rambirambi kwa niaba ya Bunge.
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwa na Mkuu wa Mkoa Mhe. Sadick Meck, Waziri wa Nchi Ofisi ya waziri Mkuu, sera Uratibu na Bunge Mhe. William Lukuvi pamoja na Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mhe. Zitto Kabwe wakimsubiri makamu wa Rais leo katika viwanja vya karimjee kuaga mwili wa Mbunge wa Chadema Viti Maalum Marehemu Regia Mtema aliyefariki kwa ajali ya gari Jumamosi tarehe 14, 2012
Spika wa Bunge Anne Makinda akisalimiana na Viongozi mbalimbali waliofika kuaga mwili wa marehemu Regia Mtema.Picha na Owen David/Muhidin Sufiani-OMR

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages