Ofisa Mtendaji Mkuu wa Star Media (T) Ltd akifungua
shampein kwaajili ya kupongezana na wafanyakazi wa kampuni hiyo jijini Dar es
salaam hivi karibu. Tafrioja hiyo ilifanyika katika ukumbi wa New Msasani Beach
Club Dar es Salaam na kuwahusisha wafanyakazi na familia zao.
Naibu
Mkurugenzi wa Utangazaji wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCR), Fredrick Ntobi, akitoa neno la shukrani kutoka TCRA.
Meneja Mkuu wa Biashara wa TBC, Joe Rugalabamu akitoa neno
la shukrani kwa niaba ya mwenyekiti wa bodi ya Star Media Clement Mshana.
Wafanyakazi na familia zao wakiwa katika tafrija
hiyo ya kufunga mwaka na kuukaribisha mwaka mpya.
mambo ya misosi yalikuwa kamili na watu walikula na
kusaza.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)