Mbunge
wa Jimbo la Wawi, Pemba, Hamad Rashid Mohamed, akionesha baadhi ya
kadi alizodai zimekuwa zikirudishwa na baadhi ya wanachama wanaomuunga
mkono kutokana na hatua zake alizozichukua na pia kutokana na kufukuzwa
kwenye Chama
Mbunge
wa Jimbo la Wawi, kisiwani Pemba, Hamad Rashid Mohamed, akizungumza na
waandishi wa habari, Dar es Salaam, kuhusu kufukuzwa kwao kwenye Chama
cha Wananchi (CUF) na hatua wanazozichukua katika suala hilo. Kulia ni
mmoja wa wanachama aliofukuzwa nao, Mjumbe wa Baraza Kuu la Uongozi la
CUF, Doyo Hassan.
Mbunge
wa Jimbo la Wawi, kisiwani Pemba, Hamad Rashid Mohamed, akionesha
kitabu alichokiandika, kutokana na kile alichodai kuwa ni baadhi ya
mambo yaliyokuwa yakikirudisha nyuma Chama chao cha CUF, ambacho baadaye
alishutumiwa na uongozi wa juu wa chama chake kwa kukitoa na
kukisambaza kwa wanachama. Kulia ni mmoja wa wanachama aliofukuzwa nao,
Doyo Hassan.Picha na Kassim Mbarouk
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)