Usiku
wa kuamkia tarehe 1 Januari 2012, Jumuiya ya Watanzania, maafisa wa
Ubalozi pamoja na waalikwa kutoka Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki
pamoja na Balozi wa Malawi na Balozi wa Ethiopia nchini Zimbabwe
walihudhuria hafla ya kukaribisha mwaka mpya. katika picha ya juu Mhe. Balozi Adadi akishereheka na watanzania.Mhe. Balozi Adadi akiteta jambo na wageni wake ambao ni Balozi wa Malawi na Balozi wa Ethiopia.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)