Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad akizungumza na
Balozi mdogo wa Oman aliyepo Zanzibar Bwana Mansoor Al- Busaid . Balozi
Mansoor Al- Busaid ambaye ni mpya alifika ofisini kwa Maalim Seif
kujitambulisha kuwepo kwake rasmi.. Picha na Salmin Said Ofisi ya Makamu
wa Kwanza wa Rais Zanzibar
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)