Mkurugenzi
wa Masoko kampuni ya bia ya Serengeti,Bw.Ephraima Mafuru akizungumzia
mafanikio mbalimbali yaliyopatikana katika taifa kupitia kinywaji
murua kabisa cha Serengeti premium Lager.
Wadau,wageni
waalikwa mbalimbali wakiserebuka kwanza huku wakisubiri kwa hamu
uzinduzi huo mpya wa dhahabu wa kinywaji cha Serengeti Premium
Lager,usiku wa kuamkia leo kwenye hotel ya Golden Tulip,jijini Dar.Picha Na Father Kidevu
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)