Mwenyekiti
wa Bodi ya Benki ya KCB Tanzania DK Edmund Mndolwa akizngumza wakati wa
hafla ya kukabidhi msaada wa Vitanda vya wajawazito kwa hospitali ya
Buguruni vya Zaidi ya shilingi milioni Nane jijini Dar es Salaam
Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya KCB Tanzania, DK Edmund Mndolwa (kushoto) akimkabidhi moja ya kitanda cha kujifungulia wajawazito, Daktari Mfawidhi wa hospitali ya Buguruni, Hawa Lesso wakati wa hafla ya kukabidhi msaada wa vifaa vya hospitali hiyo iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Wengine katikati ni Mkurugenzi wa KCB, Moezz Mir na Mwenyekiti wa Hospitali hiyo Fatma Faki
Mwenyekiti
wa Bodi ya Benki ya KCB Tanzania, Edmund Mndolwa akimkabidhi mfano wa
hundi ya shilingi Milioni 13 Mkurugenzi msaidizi wa hospitali ya CCBRT,
Haika Mawalla kwa ajili ya kununulia vifaa mbalimbali vya hospitali wakati wa hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Mwingine ni Mkurugenzi Mtendaji wa wa KCB, Moezz
Mkurugenzi
wa Mtendaji KCB Tanzania, Moezz Mir akimkabidhi mfano wa hundi ya
shilingi Milioni 13 Mkurugenzi Msaidizi wa hospitali ya CCBRT, Haika
Mawalla kwa ajili ya kununulia vifaa mbalimbali vya hospitali wakati
wa hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Anayeshuhudia ni Mwenyekiti
wa Bodi ya Benki ya KCB Tanzania, DK Edmund Mndolwa
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)