Programa
Mwandamizi wa Kompyuta toka Baraza la Mitihani la Tanzania(NECTA), Bw.
Ulrick Mkenda (kulia) akizungumza na waandishi wa habari(hawapo pichani)
wakati wa Uzinduzi wa huduma ya kulipia Ada za mitihani kupitia
mashine za Selcom Gaming LTD,Dar es salaam jana, ziitwazo selcom
paypoints.kwa wahitimu wa kujitegemea kidato cha nne CSEE na Maarifa QT
kushoto ni Meneja Masoko wa Kampuni hiyo Bw. Juma Mgori.
Programa
Mwandamizi wa Kompyuta toka Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Bw.
Ulrick Mkenda (kulia) akionesha mashine wakati wa Uzinduzi wa huduma
ya kulipia Ada za mitihani kupitia mashine za Selcom Gaming LTD, Dar es
salaam janaziitwazo selcom paypoints. kwa wahitimu wa kujitegemea
9kidato cha nne CSEE na Maarifa QT kushoto ni Meneja Masoko wa Kampuni
hiyo Bw. Juma Mgori.Picha na Mpiga Picha Wetu
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)