RAISI MSTAAFU WA ZANZIBAR AMANI ABEID KARUME AZINDUA JENGO LA SHULE - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

RAISI MSTAAFU WA ZANZIBAR AMANI ABEID KARUME AZINDUA JENGO LA SHULE

Rais Mstaafu wa awamu ya sita Zanzibar Dk.Aman Karume akihutubia wananchi walimu na wanafunzi waliohudhuria katika uzinduzi wa Jengo la Ghorofa moja la Skuli  ya Mwembe shauri, kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi na mwengine ni Mke wa Rais huyo mstaafu Mama Shadya Karume ikiwa ni shamra shamra za kutimia miaka 48 ya Mapinduzi
Rais Mstaafu wa awamu ya sita Zanzibar Dk.Aman Karume akikata utepe kuashiria    uzinduzi wa jengo jipya la ghorofa moja la  Skuli ya Mwembe shauri ikiwa ni shamra shamra za kutimia miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais Mstaafu wa awamu ya sita Zanzibar Dk.Aman Karume  akifunguwa kitambaa kuashiria uzinduzi wa jengo jipya la ghorofa moja la Skuli ya Mwembe shauri ikiwa ni shamra shamra za kutimia miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais Mstaafu wa awamu ya sita Zanzibar Dk.Aman Karume akipatiwa maelezo na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali  Ramadhan Abdulla Shaabani kuhusu moja ya madarasa ya Skuli hiyo ya Ghorofa moja iliyojengwa Mwembe shauri Zanzibar ikiwa ni shamra shamra za kutimia miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Rais Mstaafu wa awamu ya sita Zanzibar Dk.Aman Karume akisalimiana na wanafunzi wa Skuli ya Mwembe shauri kabla ya kuzindua jengo la Ghorofa moja la Skuli hiyo, kulia kwake ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali  Ramadhan Abdulla Shaabani ikiwa ni shamra shamra za kutimia miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar
  PICHA ZOTE NA YUSSUF SIMAI MAELEZO ZANZIBAR

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages