
Rais Jakaya Kikwete akiweka sahihi kitabu cha maombolezo

Rais
Jakaya Kikwete Akimpa pole mjane wa Marehemu Jeremia Sumary, Mbunge wa
Arumeru na Naibu Waziri wa Fedha wa wa zamani aliyefariki leo asubuhi
jijini Dar es salaam. Hapa ni nyumbani kwa marehemu, Mbezi Beach, Dar
es salaam jioni hii

Rais Jakaya Kikwete akitoa pole kwa wafiwa

Rais Jakaya Kikwete akiongea na ndugu wa marehemu pamoja na Spika Anne
Makinda na Mbunge wa Loliondo Mh Edward Lowassa ambaye ni mzazi wa
binti aliyeolewa na mtoto wa marehemu Sumari.Picha na IKULU





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)