Rais wa Zazibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,akikata utepe kama ishara ya uzinduzi wa Jengo jipya la Makao
Makuu ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi Pemba katika kijiji cha Weni, Wilaya
ya Wete Pemba,katika shamra shamra za miaka 48 ya Mpinduzi matukufu ya
Zanzibar.
Rais wa Zazibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,akifungua pazia kuashiria uzinduzi wa Jengo jipya la Makao Makuu
ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi Pemba katika kijiji cha Weni, Wilaya ya
Wete Pemba, lililojengwa kwa msaada wa Benki ya Dunia,ikiwa ni katika
shamra shamra za miaka 48 ya Mpinduzi matukufu ya Zanzibar.
Mkurugenzi
wa Idara ya Uvuvi,Mussa Aboud Jumbe,akimueleza Rais wa Zazibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,Malengo na
madhumuni ,katika sherehe za uzinduzi wa Jengo la Makao Makuu a Wizara
ya Mifugo na Uvuvi Pemba,katika kijiji cha Weni,Wilaya ya Wete Mkoa wa
Kasakazini Pemba,baada ya kulizindua rasmi sambamba na maadhimisho ya
miaka 48 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Mkurugenzi
wa Idara ya Uvuvi,Mussa Aboud Jumbe,akimpa maelezo Rais wa Zazibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,wakati
alipotembelea Jengo la Makao Makuu a Wizara ya Mifugo na Uvuvi Pemba,
lililojengwa kwa msaada wa Benki ya Dunia ,katika kijiji cha Weni,Wilaya
ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba,baada ya kulizindua rasmi sambamba na
maadhimisho ya miaka 48 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais
wa Zazibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed
Shein,akiwapungia mkono wananchi wakati alipowasili katika viwanja vya
Jengo la Makao Makuu ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi Weni Pemba, kulizindua
rasmi jengo hilo, lililojengwa kwa msaada wa Benki ya Dunia ,ikiwa ni
katika shamara shamra za maadhimisho ya miaka 48 ya Mapinduzi Matukufu
ya Zanzibar.
Wananchi kutoka Vijiji mbali mbali vya Wilaya ya Wete
Pemba,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na wananchi hao
wakati wa sherehe za uzinduzi wa Jengo la Makao Makuu ya Wizara ya
Mifugo na Uvuvi Pemba,lililojengwa kwa msaada wa Benki ya Dunia,pia
ikiwa ni shamra shamra za Miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri
wa Mifugo na Uvuvi Said Ali Mbarouk,akimakaribisha Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,kuzungumza na
wnanchi baada ya kulizindua jingo jipya la Wizara hiyo huko Weni Wete
Pemba jana,sambamba na kuadhimisha miak 48 ya Mapinduzi ya
Zanzibar.Picha na Ramadhan Othman Pemba.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)