Naibu Waziri
wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Phillip Mulugo akisisitiza jambo kwa
waandishi wa habari Dar es Salaama kuhusu uamuzi wa Serikali wa
kuwarudisha wanafunzi 9,629 waliofutiwa mtihani wao wa darasa la saba
kufanya tena mtihani huo mwezi Septemba mwaka huu. (Picha na Fadhili
Akida).
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)