Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Philipo
Mulugo (kushoto) akitoa tamko jana jijini Dar es salaam kuhusu hatma
ya wanafunzi waliofutiwa matokeo ya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi
mwaka 2011 ambapo Serikali imeamua watahiniwa 9,629 waliofutiwa
matokeo kutokana na kubainika majibu yao kufanana kurudia mtihani wa
darasa la Saba mwezi Septemba mwaka huu 2012 Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Elimu ya Msingi Zuberi Samataba.
(PICHA NA VICENT TIGANYA- MAELEZO)
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)