Moravian Kinondoni waja na Blog yao matata sana - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Moravian Kinondoni waja na Blog yao matata sana

Baadhi ya wanakwaya wa kwaya ya vijana Moravian mkoani Dodoma(Dodoma Moravian Town Choir)wakiwa wamepozi nje ya kanisa mara baada ya kumalizika kwa ibada.hakika Mungu wetu ni mwema kwani ameendelea kuifikisha injili yake ama neno lake hata sehemu ambazo hazikusadikiwa kufika, Eee Yesu tunakushuru
KUWATEMBELEA INGIA .http://hekimagospelchoir.blogspot.com/

 


  
Mungu awabariki watumishi kwa kazi nzuri mnayoifanya, tambueni kuwa mkimtumikia Mungu atawaheshimu, msikate tamaa kwani mtavuna kwa wakati msipozimia moyo  

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages