Bibi
Harusi Joan Catherine Joseph akikabidhi keki kwa Baba Mkwe wake Mkuu wa
Mkoa wa Singida Parseko Ole Kone, wakati wa harusi ya kijana wake
iliyofanyika jana mjini Arusha, pembeni yake ni Waziri Mkuu Mstaafu
Edward Lowassa ambaye pi ni Mbunge wa Jimbo la Monduli na Naibu Waziri
wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Goodluck Ole Medeye.
Waziri
Mkuu Mstaafu Edward Lowassa akifurahia jambo wakati alipokuwa
akimtambulisha mbunge wa Viti maalumu CHADEMA Mkoa wa Singida.
Lowassa, Parseko Kone, Goodluick Ole Medeye, Mama Regina Lowassa wakigonganisha Glasi kama ishara ya kuwapongeza maharusi.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)