.MI NIMO NAJIKONGOJA TARATIBU NDANI YA HILI SHIMO.
NI KITU KIPYA CHA ALLY KIBA KILICHOPIKWA NDANI YA SEE RECORDS YA NAPOLI ITALY CHINI YA PRODUCER ALASKO.
ALLY KIBA ALIPIKIWA BEAT HII ALIPO KUWA KTK TOUR YAKE YA EUROPE.SEE RECORDS NI STUDIO AMBAYO ITAANZA SHUGHULI ZAKE RASMI MARCH 2012 HAPO MJINI DAR.SEE REC IMESHAFANYA KAZI NA WASANII KAMA KIBA,DIAMOND,HUSSEIN MACHOZI NAPIA KUTENGENEZA VIDEO ZA WASANII ASLEY ft TEMBA,MIAKA 50 MCHIRIKO TIPTOP CONNECTION.MIAKA 50 MKUBWA NA WANAE, RAMSO ft GODZILLA.PRODUCER WA SEE RECORDS ALASKO PIA NI MTAALAM WA MUSIC NA FILAM NA PIA NI MCHEZA FILAM AMBAE AMECHEZA FILAM MOJA HAPO ITALY NAPOLI AMBAYO IMEFANYA VIZURI SANA NAKUSHINDA TUNZO ITALY NA NJE YA ITALY.
KATIKA FILM HIYO PIA KUNA GFAMILLY MTANZANIA PEKEE KATI YA ACTORS WA FILM HIYO. film inaitwa LA BAS EDUCAZIONE CRIMINALE.
FILM IMESHASHINDA TUNZO 3 INTENATIONAL AWARD NA INATOKA FEBRUARY.
SEE RECORDS MANAGER GFAMILLY NA CEO SALIM AWADH WANAMSIMAMIA PRODUCER HUYUAMBAYE ANATAKA KUFANYA MABADILIKO YA VIONJO VYA FLAVA.KWA KUSHIRIKIANA NA MAPRODUCER WA KITANZANIA KTK KUBORESHA MUZIKI WETU.
ALASKO NI MTU KUTOKA NCHI YA BENIN NA ANAISHI NCHINI ITALY.
WASANII WOTE WA KITANZANIA WANAKARIBISHWA SEE RECORDS KWA KUPATA LADHA MPYA YA BEATS TOKA KWA ALASKO
MANAGER SEE REC
GFAMILLY
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)