MBUNGE wa Jimbo la Mvomero,(CCM)mkoani Morogoro,Amos Makalla akibadilishana mawazo na Mmoja wa Wanakijiji Jimboni Kwake
Kiongozi akiwa amekaa katika madawati na wanafunzi wa shule ya msingi mgudeni kata ya mvomero ,makalla alitoa jumla ya shilingi milioni 1.6 kwajili ya kutengeneza madawati hayo kama miezi miwili iliyopita baada ya kuelezwa wanafunzi wake wanakaa chini kutokana na upungufu wa madawati.
MBUNGE wa Jimbo la Mvomero,(CCM)mkoani Morogoro,Amos Makalla akisalimiana na wanafunzi jimboni kwake
MBUNGE wa Jimbo la Mvomero,(CCM)mkoani Morogoro,Amos Makalla,akimpa pole mwanamama wa jamii ya kimasa aliyekuwa akisubiri kupatiwa matibabu,wakati alipotembelea Zahanati ya kijiji cha dakawa wilayani humo kwajili ya ukaguzi wa zahanati hiyo,Makalla alitoa kiasi cha shilingi milioni 1 papo hapo kwajili ya kukarabati miundombinu ya umeme ndani ya zahanati hiyo kwajili ya maandalizi ya kuingiza
MBUNGE wa wa Jimbo la Mvomero,(CCM)mkoani Morogoro,Amos Makalla na Wahusika wakionyeshwa michoro ya ramani ya ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Mvomero na Meneja wa wakala wa majengo mkoani Morogoro Edwin Mndunduma(kulia) kushoto ni Mchovu Charo ambaye mkandarasi wa kampuni ya Mavondas LTD inayojenga hospitali hiyo.
Katika hii picha kinachoonekana ni moja ya visima kati ya 20 kilichochimbwa katika kijiji cha Milama kata ya dakawa kwa ufadhili wa taasisi Health Community ya nchini Marekani,wengine ni viongozi wa kijiji hicho.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)