MAN U YAITUNGUA MAN CITY MAGOLI 3 KWA 2 - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAN U YAITUNGUA MAN CITY MAGOLI 3 KWA 2

Beki wa timu ya Manchester Cit, Vincent Kompany (chini) akimchezea vibaya Kiungo wa Manchester United, Nani, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya england uliomalizika muda mfupi uliopita katika uwanja wa  Etihad,  Manchester.  Kompany amezawadiwa kadi nyekundu baada ya kumchezea vibaya Nani, mpira unamalizika Man U yaibuka kidedea  kwa magoli3-2.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages