Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiweka saini katika kitabu cha maombolezo ya aliyekuwa Mbunge wa
Arumeru na Naibu Waziri wa Fedha, marehemu Jeremia Sumari, wakati
alipofika nyumbani kwa marehemu Tangi Bovu jijini Dar es Salaam leo
Januari 19, 2012, kwa ajili ya kutoa pole kufuatia kifo cha mbunge huyo
kilichotokea usiku wa kuamkia leo Hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa
amelazwa.

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na mke wa aliyekuwa Mbunge wa Arumeru na Naibu Waziri wa
Fedha, marehemu Jeremia Sumari, Mama Miriam Sumari, wakati alipofika
nyumbani kwa marehemu Tang Bovu jijini Dar es Salaam leo Januari 19,
2012, kwa ajili ya kutoa pole kufuatia kifo cha mbunge huyo kilichotokea
usiku wa kuamkia leo Hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa amelazwa.

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na mke wa aliyekuwa Mbunge wa Arumeru na Naibu Waziri wa
Fedha, marehemu Jeremia Sumari, Mama Miriam Sumari, wakati alipofika
nyumbani kwa marehemu Tang Bovu jijini Dar es Salaam leo Januari 19,
2012, kwa ajili ya kutoa pole kufuatia kifo cha mbunge huyo kilichotokea
usiku wa kuamkia leo Hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa amelazwa.

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na watoto wa aliyekuwa Mbunge wa Arumeru na Naibu Waziri
wa Fedha, marehemu Jeremia Sumari, wakati alipofika nyumbani kwa
marehemu Tang Bovu jijini Dar es Salaam leo Januari 19, 2012, kwa ajili
ya kutoa pole kufuatia kifo cha mbunge huyo kilichotokea usiku wa
kuamkia leo Hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa amelazwa.Picha na Muhidin Sufiani-Ofisi ya Makamu wa Rais

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)