JUST IN: MBUNGE WA ARUMERU NA NAIBU WA FEDHA JEREMIA SUMARI AFARIKI DUNIA USIKU WA JANA KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

JUST IN: MBUNGE WA ARUMERU NA NAIBU WA FEDHA JEREMIA SUMARI AFARIKI DUNIA USIKU WA JANA KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI

Taarifa zilizoufikia mtandao Wa Lukaza Muda Mfupi inasema Kuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki na Naibu waziri wa fedha Jeremiah Sumari amefariki jana usiku katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Mpaka sasa tunaendelea kutafuta taarifa zaidi kuhusiana na Habari japokuwa Taarifa hii imethibitishwa na Naibu spika wa Bunge Job Ndugai. Kadri tunavyozidi kupata taarifa zaidi kutoka katika chanzo chetu cha habari Tutawajuza zaidi

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages