DK SLAA APOKELEWA KWA SHANGWE JIJINI MBEYA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

DK SLAA APOKELEWA KWA SHANGWE JIJINI MBEYA

Dk. Slaa akikaribishwa na mbunge wa mbeya mjini, Mh. Joseph Mbilinyi mara baada ya kuwasili maeneo ya Uyole jijini Mbeya jana jioni.
Baadhi ya wabunge na wanachama wa Chadema wakimsikiliza kwa makini Dk Slaa mara baada ya kuwasili jijini Mbeya jana jioni.

Dk. Slaa akishangiliwa na wanachama wake alipokuwa akipita maeneo ya Mwanjelwa jijini Mbeya jana jioni.Picha zote na MBEYA YETU BLOG

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages