Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk Ali Mohamed Shein,akikata utepe kama ishara ya uzinduzi wa Jengo la
Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) huko Mazizini Nje ya Mji wa
Zanzibar,ikiwa ni shamra shamra za miaka 48 ya Mapinduzi matukufu ya
Zanzibar.
Baadhi
ya Wananchi na Wazee walioalikwa katika
sherehe za Uzinduzi wa Jengo la Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) huko
Mazizini Nje ya Mji wa Zanzibar,ikiwa ni shamra shamra za miaka 48 ya
Mapinduzi matukufu ya Zanzibar,lililozinduliwa na Rais wa Zanzibar Dk
Ali Mohamed Shein jana.
Baadhi
ya Mabalozi na Viongozi walioalikwa katika
sherehe za Uzinduzi wa Jengo la Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) huko
Mazizini Nje ya Mji wa Zanzibar,ikiwa ni shamra shamra za miaka 48 ya
Mapinduzi matukufu ya Zanzibar,lililozinduliwa na Rais wa Zanzibar Dk
Ali Mohamed Shein jana.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk
Ali Mohamed Shein,akiuliza swali kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi
na Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Bodi ya Mapato Zanzibar, wakati
wa uzunduzi wa jengo la Bodi hiyo huko Mazizini Nje ya Mji wa
Zanzibar,ikiwa ni shamra shamra ya miaka 48 ya Mapinduzi matukufu ya
Zanzibar.

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)