BONANZA LA TIGO LAWAKUTANISHA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU JIJINI DAR ES SALAAM JANA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

BONANZA LA TIGO LAWAKUTANISHA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU JIJINI DAR ES SALAAM JANA

Mchezaji wa timu ya mpira wa kikapu ya UDSM ,Simba Kilumbi akitafuta jinsi ya kumtoka mchezaji wa chuo cha IFM wakati wa bonanza la vyuo vikuuu Dar es salaam jana
Wachezaji wa Netbol wa chuo cha IFM wakipasha misuri moto kabla ya kuingia uwanjani
Mchezaji wa timu ya mpira wa kikapu ya UDSM ,Simba Kilumbi akitafuta jinsi ya kumtoka mchezaji wa chuo cha IFM wakati wa bonanza la vyuo vikuuu Dar es salaam jana
baadhi ya wanafunzi wa vyuo mbalimbali jijini Dar es salaam wakiangalia mpira
hapa kazi tuuu
watu wanapashaaaa

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages