Katibu
Mkuu wa Wizara ya Fedha Ramadhan Khijjah (kushoto) na Kaimu Mwakilishi
wa Benki ya Dunia kwa Tanzania, Uganda na Burundi Mercy Miyang
Tembon(kulia) wakisaini hati ya msaada makubaliano
ya msaada wa Shilingi bilioni 22.8 kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za
Mpango wa Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP) uliotolewa na Japan na
utasimamiwa na Benki ya Dunia(WB) leo.Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)