Askari wa Kikosi Cha Kuzuia Ghasia Wakiwa Wametanda na Magari Eneo la Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Askari wa Kikosi Cha Kuzuia Ghasia Wakiwa Wametanda na Magari Eneo la Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam

 Askari wa Kikosi cha Kuzuia Ghasia wakiwa wametanda na magari eneo la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), sehemu ya Mlimani, baada ya wanafunzi zaidi ya 80 kusimamishwa na zaidi ya 10 kufukuzwa.Na Mpigapicha Wetu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages