Mkurugenzi
Mkuu wa Ewura, Haruna Masebo akimkabidhi leseni ya uzalishaji wa umeme
wa upepo Bw. Rashid Shamte ambaye ni mkurugenzi wa kampuni ya Wind EA
katika hafla fupi iliyofanyika jijini jana. kampuni hiyo imepewa leseni
ya kuzalisha umeme wa upepo wa 100mw kwa kipindi cha miezi 30.
Wafanyakazi wa Kampuni ya Wind
EA wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Mkuu wa EWURA,Haruna
Masebo mara baada ya kukabidhiwa leseni yao ya biashara.
Wafanyakazi wa Kampuni ya Wind
EA wakiwa katika mazungumzo na waandishi wa habari juu ya shughuli za
kampuni hiyo na mkakati wao wa uzalishaji umeme wa upepo baada ya
EWURA,kuwakabidhi leseni yao ya biashara.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)