Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa Atia Saini Kitabu Cha Maombolezo Kwenye Ubalozi wa Korea ya Kusini - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa Atia Saini Kitabu Cha Maombolezo Kwenye Ubalozi wa Korea ya Kusini


Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa akitia Saini Kitabu cha Maombolezo kwenye Ubalozi wa Korea ya Kusini Kufuatia kifo cha kiongozi wa Nchi Hiyo Kim Jong ll, Waziri aliweka saini kwaniaba ya Makamu wa Rais Dk Muhammed Gharib Bilali katika Ofisi za Ubalozini huo Mikocheni Mjini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa akiagana na Kaimu Balozi wa Korea ya Kusini Nchini Tanzania Bw Kim Yong Su Mara Baada ya Kuweka Saini Kitabu cha Maombolezo Kufuatia Kifo cha Kiongozi wa Nchi hio Kim Jong ll.Picha na Ali Meja

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages