Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Muungano Samia Suluhu
Hassan akitoa hotuba yake ya kufunga Kongamano la siku tatu leo
lililokuwa likizungumzia athari za Mabadiliko ya hali ya hewa ambalo
limefanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Ocean View.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Muungano Samia Suluhu
Hassan akizungumza na waandishi wa Habari baada ya kufunga Kongamano la
siku tatu lililokuwa likizungumzia athari za Mabadiliko ya hali ya hewa
ambalo limefanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Ocean View.
Baadhi
ya washiriki wa Kongamano la siku tatu lililokuwa likizungumzia athari
za Mabadiliko ya hali ya hewa wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya
Makamu wa Rais anayeshughulikia Muungano Samia Suluhu Hassan hayupo
pichani katika Kongamano hilo lililofanyika leo katika Ukumbi wa Hoteli
ya Zanzibar Ocean View. Picha na Hamad Hija-Maelezo Zanzibar
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)