
Mgeni
rasmi,Waziri wa fedha na Uchumi,Mh Mustafa Mkulo pamoja na Mkurugenzi
wa Airtel Money Kelvin Twisa wakizindua huduma ya Airtel Money kutoka
Airtel Tanzania,hafla hiyo imefanyika leo mchana kwenye hotel ya
Hyatt-Kilimanjaro,jijini Dar es Salaam,Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa
Airtel Tanzania,Bw.Sam Elangallor akishuhudia tukio hilo.

Baadhi
ya Wafanyakazi wa Airtel Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja mara
baada ya uzinduzi wa huduma ya Airtel Money,leo jijini Dar.
Mgeni
rasmi,Waziri wa fedha na Uchumi,Mh Mustafa Mkulo akisoma hotuba yake
mbele ya wageni waalikwa mbalimbali (hawapo pichani) waliofika kwenye
uzinduzi wa huduma hiyo itolewayo na Airtel Tanzania.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Airtel Tanzania,Bw.Sam Elangallor akizungumza kwa ufupi
kuhusiana na uzinduzi wa huduma ya Airtel Money Tanzania.







No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)