Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Naibu Waziri wa Fedha, , Mheshimiwa
Pireira Ame Silima (kushoto) na Mwenyekiti wa Bodi ya The Procurement
and Supplies Proffessionals and Technician Board (PSPTB), Bw. Noel
Mrope baada ya kufungua mkutano wa mwaka wa PSPTB kwenye kituo cha
kimataifa cah mikutano cha AICC mjini Arusha , December 14,2011.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Makamu, Mwenyekiti wa Bodi
ya The Procurement and Supplies Professionals and Technician Board
(PSPTB), Sister Catherene Bandiho(kushoto) baada ya kufungua mkutano wa
mwaka wa bodi hiyo kwenye ukumbi wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano
cha Arusha AICC, Desemba 14, 2011. Watatu kulia ni Mwenyekiti wa Bodi
ya PSPTB, Noel Mrope.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda , akikagua ujenzi wa jengo la ofisi za makao
makuu ya Jumuiya ya Afrika ya Mashariki, Mjini Arusha Desemba 14,
2011ambalo linatarajiwa kuwa limekamilka ifikapo Februari mwakani.
Kushoto ni Mratibu wa Mradi wa Ujenzi wa Jengo hilo, Phil Klerruu na
kushoto kwa Waziri Mkuu ni Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya anayeshughulia
Fedha na Utawala, Dr. Rotich. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)