URBAN PULSE CREATIVE wakishirikiana na Miss Jestina Blog wanapenda kuwaalika wadau wote katika sherehe ya kuaga mwaka 2011 na kuukaribisha mwaka 2012 jijini London siku ya Jumamosi tarehe 31.12.2011 ndani ya PIT STOP, Ripple Road 1G11 OSN kuanzia saa 4 usiku mpaka saa 11 alfajiri. Kiingilio ni pauni 10 (£10.00) kabla ya saa sita usiku.
Karibuni wote tusherehekee na kuukaribisha mwaka mpya 2012, Tafadhali mjulishe na mwenzako.
Asanteni,
Urban Pulse Creative na Miss Jestina Blog
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)