Ujio wa mtandao wa : Activities, Events,Entertainment and Hot World News - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Ujio wa mtandao wa : Activities, Events,Entertainment and Hot World News

Kwanza kabisa Poleni sana na kazi zenu zote, Na Hongereni kwa kazi Nzito mlizo kuwa nazo, Mimi mzima kabisa na naendeleza Libeneke kama kawaida.. Mkiwa kama Mabloga wenzangu nilikuwa naomba msaada wenu wa kunitambulishia Libeneke langu. Natanguliza Shukrani.. naambatanisha maelezo hapa chini. Pamoja Tunaendeleza Libeneke
Ujio wa Libeneke la: Activities, Events,Entertainment and Hot World News
Napenda kuwakaribisha Nyote katika Blog ya Activities, Events,Entertainment and Hot World News , nia na malengo ni kuwaletea matukio,shughuli mbali mbali za Tanzania, Africa na Dunia kwa ujumla, pia kuwaletea Habari za kimataifa, Vichekesho kwa njia ya Story ama Video na Filamu. Utapata kujua mambo mengi ambayo ulikuwa hauyafahamu. Bila kusahau habari za Muziki, Burudani na Michezo kwa ujumla.. Karibuni sana na asanteni kutetembelea, ukipata Taarifa mwambie na mwenzako.
Kama unahabari zinazo endana na kilicho andikwa hapo juu tuma kupitia: fredynjeje@live.com
Link ya Blog ni: www.fredynjeje.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages