Ofisa
Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) Bw. Said Amir Said
(katikati) na Meneja Uhusiano wa Kampuni hiyo Bw. Amin Mbaga (kulia)
wakimkabidhi sehemu ya msaada walioutoa kwa Mratibu wa Maafa Manispaa
ya Ilala Bw. Mwasabite Elioth kwa ajili ya watu waliokubwa na
mafuriko.(picha na TTCL)
Baadhi
ya Maofisa kutoka Kampuni ya Simu Tanzania TTCL wakiwa katika piocha
ya pamoja na watoto yatima baada ya kuwapa vyakula mbalimbali kwa msimu
huu wa sikukuuu.(picha na TTCL)
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)