Tanzania Music Television (TMTV) ni TV ambayo
unaweza kuiona Online na pia ktk
DECODER . TMTV itazinduliwa hivi karibuni pindi maandalizi yatakapokuwa tayari.
Kwasasa waweza kuendelea kuangalia Chanel hii bure kupitia computer yako kwa
linki hii www.tmtv.co.tz.
Mauzo ya DECODER yataanza pindi decoder zitakapo kamilika.Ili watu waweze kuona TMTV kupitia TV zao za majumbani.
Vile vile ni TV ambayo inarushwa kwa teknonlojia mpya ambayo unaweza kuangalia TMTV kupitia, MOBILE ,GAMES Kama XBOX360,SMATPHONES aina zote kama za mobile kama Nokia, Motorolla, Samsung, LG Zenye 3G n.k pia kupitia Android na Decoder TRU SATTELITE.
TMTV ni kwa ajili yetu sote, isitoshe ni ya kijanja na imelenga kutuburudisha kokote tulipo kupitia simu zetu na computer zetu. Ikiwa kama MTV chanel.
BENDI ZETU
SWAHILI HIP HOP
ZILIPENDWA
TAARABU
NYIMBO ZA ASILI
NYIMBO ZA DINI
SALAMU BOX
BONGO BOX
TMTV TOP 10
VIPAJI na
MUSIC NEWS.
Tusiogope kuisapoti bidhaa yetu ya nyumbani kabisa. Tuipe ushirikiano wa kutosha
Link www.tmtv.co.tz Downlod microsoft Silverlight itajitokeza ktk screen,kama haijafunguka yenyewe.

TMTV ni music chanel ambayo inaonyesha music ya
kibongo mchanganyiko 24/7.
TMTV ina vipindi 10,
SWAHILI HIP HOP
ZILIPENDWA
TAARABU
NYIMBO ZA ASILI
NYIMBO ZA DINI
SALAMU BOX
BONGO BOX
TMTV TOP 10
VIPAJI na
MUSIC NEWS.
Tusiogope kuisapoti bidhaa yetu ya nyumbani kabisa. Tuipe ushirikiano wa kutosha
Link www.tmtv.co.tz Downlod microsoft Silverlight itajitokeza ktk screen,kama haijafunguka yenyewe.
Email. info@tmtv.co.tz

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)