WASAFIRI WAKISUBIRIA USAFIRI WA KUELEKEA MIKOANI KATIKA KITUO CHA MABASI UBUNGO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WASAFIRI WAKISUBIRIA USAFIRI WA KUELEKEA MIKOANI KATIKA KITUO CHA MABASI UBUNGO

 Baadhi ya wasafiri wa kuelekea katika mikoa ya Moro na Tanga wakisubiri usafiri katika Kituo Kikuu cha Mabasi Ubungo
 Dada ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja  akielekea katika Kituo Kikuu cha Mabasi ya kwenda mkoani Ubungo, Dar es Salaam  tayari kwa safari ya kuelekea mkoani kwaajili ya kusherekea sikukuu ya krismasi na mwaka mpya. Lakini usafiri umeanza kuwa wa shida kutokana na idadi kubwa ya wasafiri wanaoenda mkoani na nchi jirani

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages