Shindano la Waandishi wa Habari Kuhusu Upatikanaji wa Huduma Muhimu za Ukimwi - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

Shindano la Waandishi wa Habari Kuhusu Upatikanaji wa Huduma Muhimu za Ukimwi


TACAIDS
Mwenyekiti Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI(TACAIDS) Dkt. Fatma Mrisho(kushoto ) akiongea na waandisha wa habari jana jijini Dar es salaam wakati wa tafrija fupi ya utoaji wa zawadi na vyeti kwa washindi wa shindano la waandishi wa habari kuhusu upatikanaji wa huduma muhimu za UKIMWI kwa makundi ya watu wenye fursa chache. Katikati ni  Mwenyekiti wa Chama cha waandishi wa habari za UKIMWI nchini (AJAAT) Simon .
MUTABUZ
 Mwenyekiti Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI(TACAIDS) Dkt. Fatma Mrisho(kushoto ) akitoa cheti na cheki ya shilingi laki saba kwa mwandishi wa habari wa ITV na Redio One Renatus Mutabuzi jana jijini Dar es salaam wakati wa tafrija fupi ya utoaji wa zawadi na vyeti kwa washindi wa shindano la waandishi wa habari kuhusu upatikanaji wa huduma muhimu za UKIMWI kwa makundi ya watu wenye fursa chache.Tuzo hizo iliandaliwa na Chama cha Waandishi wa habari za Ukimwi Tanzania(AJAAT)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages